Ruby Kuachana na Kusah Bado Kuna Mtesa..Kifupi Hajakubali Ukweli Kuwa si Wake Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya interview ya msanii Ruby kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM, maoni yamekuwa ni mengi kuhusiana na kile alichokuwa akikiongea, kwanza kumzungumzia Ex wake, Kusah kwa asilimia kubwa, kumeibua maoni mengi kuwa mwanamuziki huyo bado hajamsahau Kusah kwenye moyo wake.


Baadhi ya vitu alivyo visema Ruby, ni kumtofautisha Ex wake na mpenzi aliyenaye kwenye mahusiano hivi sasa, Kwenye upande wa nywele zao, Ruby amedai Ex wake ana Ubuyu (Breach) kichwani wakati mpenzi wake wa sasa kichwani ni Black, Ex hatoi huduma kwa mwanaye, badala yake hela ya kumnunulia mtoto maziwa, yeye kaenda kununua ubuyu wa Kungu na kupaka kichwani, Kingine, Ruby amedai ikitokea anataraji kufanya harusi yake, miongoni mwa watu ambao atawapa kadi za mualiko mapema, ni pamoja na Ex wake ili aje kushuhudia anavyo olewa.


Asilimia 99.9% ya watu waliotoa maoni kuhusiana na interview hii, wengi wanaamini bado msanii wetu pendwa, Ruby hajaachana na Kusah Kiroho, bali kimwili tu.


Ex wako anaugaragaza moyo kwa asilimia ngapi????

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad