Ruby "Mpenzi Wangu wa Zamani Ana Ubuyu Kichwani"Msanii @iamrubyafrica Amefunguka kuwa Mpenzi wake wa Sasa ndio Saizi yake Huku Akisema kuwa Watu wamekuwa na Tabia ya Kuwafanisha Kuanzia Kimo kuwa Wamelingana na Mpenzi wake wa Zamani kitu ambacho sio Sahihi kwani wapo Tofauti hata kimuonekano na kusema kwamba Mpenzi wake wa Sasa Kichwani anarangi Nyeusi na yule wa zamani ana Ubuyu. We Mwenyewe ulisema nisikutafute Tena
Akiwa kwenye Kipindi cha #Uhondo cha #EFM @iamrubyafrica Amesema..

"Niwaambie tu Kuwa Mpenzi wangu wa sasa hivi Kichwani rangi yake ni Nyeusi lakini mpenzi wangu wa Zamani Kichwani ana UBUYU"
Unahisi ni EX gani Kapigwa dongo na Ruby?


đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad