Saraphina Awachana Kiana Wasanii wa Kike Bongo "Msanii ni Package ya Vitu Vingi Acheni Kazi Ziongee"


The female artist nchini ambaye anakuja kwa kasi kwenye industry ya Bongo Flava, Phina (Saraphina) amewataka wasanii wa kike kuacha kazi zao ziongee kuliko kile walicho kionyesha mitandaoni hivi karibuni.

Akifanya mahojiano na Ayo Tv pande za Sumbawanga baada ya show yake ya Fiesta, Phina alidai, isichukuliwe kauli yake kama ni offensive lakini ijulikane kuwa msanii ni package ya vitu vingi sana, uimbaji, muonekano na vingine vingi sio kubase na kitu kimoja then kuonekana we ni mkali, hivyo inabidi zifanyike kazi zaifi ziongee ndani na hata nje ya mipaka ya Afrika mashariki.

Hii inakuja ikiwa ni siku mbili nyuma, toka Msanii Zuchu adai ahitaji kushindanishwa na wasanii wa kike tena maana ni kama kuwaonea, kwa uwezo wa uandishi aliobarikiwa nao, anapaswa kushindanishwa kwenye ligi ya wanaume.


đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad