Serikal Yateua Tume Wataalamu Kuchunguza Utata wa Tozo Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kukusanya tozo kwenye Miamala ya Kielektroniki na kodi nyinginezo, huku akibainisha kuwa baadhi ya mabadiliko yatafanyika ili kuakisi mapendekezo ya Kamati Kuu ya CCM

Akizungumzia kuhusu majukumu ya timu iliyoteuliwa, amesema Wataalamu hao wataangalia njia bora ya kukusanya Mapato na kuja na njia rafiki zaidi ya kukusanya Tozo kwa namna ambayo itazingatia maslahi ya Watanzania

-

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad