Simba Yawakalisha Wajelajela Tanzania Prisons, Mkude Apeleka Kilio

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA

Kiungo wa Simba Jonas Mkude akishangilia goli pekee kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa uwanja wa Sokoine Mbeya.

KLABU ya Simba leo Septemba 14, 2022  imefanikiwa kuondoka na alama tatu muhimu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wajelajela Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

 

Bao pekee la Simba limewekwa kimiani na kiungo mkongwe Jonas Mkude baada ya kuunganisha pasi ya kichwa ilipigwa na Kibu Denis dakika ya 85 ya mchezo.

 

Kwa matokeo hayo Simba ambayo ipo chini ya Kocha mkuu wa muda Juma Mgunda imefikisha alama 10 sawa na mabingwa watetezi Yanga.

 Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad