Taifa Stars na Uganda Cranes Mechi ya Kisasi Leo....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



TIMU ya soka ya taifa(Taifa Stars) leo itaikabili timu ya taifa ya Uganda(The Cranes) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa Libya.

Mchezo huo unaotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Mguu(FIFA) utachezwa kwenye uwanja wa Modern uliopo jiji la Benghazi.

Katika mchezo wa mwisho wa timu hizo uliopigwa Desemba 9, 2021 Taifa Stars ilipoteza kwa mabao 2-0 mbele ya The Cranes.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad