Usajili Huru wa Lionel Messi Kutoka Barcelona Wazidi Kuwatajirisha PSG
KUWASILI kwa supastaa wa Argentina Lionel Messi katika klabu ya Paris Saint-Germain kumezidi kuwapa neema kubwa matajiri wa klabu hiyo ya Ufaransa, ambayo imekuwa ikivuna faida za kifedha.

 

Usajili wa Lionel Messi umeiingizia Paris Saint-Germain pato la ziada la Euro milioni 612 kutokana na mikataba ya kibiashara.

 

Messi alijiunga na PSG kwa mkataba wa miaka miwili mwaka mmoja uliopita akitokea Barcelona akiwa mchezaji huru. Mkataba wa Messi katika klabu hiyo unamfanya kupata £34m (€40m) kwa mwaka wa mwisho mjini Paris, baada ya kupata £uro milioni 25.5 kutoka mwaka wa kwanza wa mkataba wake.


Lionel Messi azidi kuwapa ulaji PSG

Klabu hiyo ya Ufaransa imeongeza asilimia 13 kwenye vyanzo vyao vya mapato tangu kuwasili kwa Messi kutokana na mikataba na chapa kadhaa zikiwemo Dior, Gorillas, Crypto.com, PlayBetR, GOAT, Smart Good Thins, Volt, Big Cola, Sports Water na Autohero.


💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad