AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Liz Truss amechaguliwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, akichukua nafasi ya Boris Johnson, aliyejiuzulu Julai mwaka huu.
Liz Truss ametangazwa rasmi hii leo Septemba 5, 2022, kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kupitia chama cha Conservative, baada ya kupata kura 81,326 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Rishi Sunak aliyepata kura 60,399.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK