Wasanii wa Nigeria wameitawala Top 20 ya wasanii wa Afrika Spotify


Wasanii wa Nigeria wameitawala Top 20 ya wasanii wa Afrika ambao wana idadi kubwa ya wasikilizaji wa mwezi kwenye mtandao wa Spotify (Africa's Most Spotify Monthly Listeners), kwenye orodha hiyo, wasanii wa Nigeria wapo 16.

1. Rema πŸ‡³πŸ‡¬ - 20.1 million

2. Burna Boy πŸ‡³πŸ‡¬ - 18.7 million

3. Tems πŸ‡³πŸ‡¬ - 15.4 million

4. Ckay πŸ‡³πŸ‡¬ - 15.3M

5. Wizkid πŸ‡³πŸ‡¬ - 8.8M

6. Fireboy πŸ‡³πŸ‡¬ - 7.8M

7. Soolking πŸ‡©πŸ‡Ώ - 7.3M

8. Oxlade πŸ‡³πŸ‡¬ - 5.4M

9. Mr Eazi πŸ‡³πŸ‡¬ - 5.072M

10. Amaarae πŸ‡¬πŸ‡­ - 5.05M

11. DJ Yo! πŸ‡²πŸ‡Ί - 5M

12. Davido πŸ‡³πŸ‡¬ - 4.5 million

13. Omah Lay πŸ‡³πŸ‡¬ - 4 million

14. BNXN πŸ‡³πŸ‡¬ - 3.94 million

15. Master KG πŸ‡ΏπŸ‡¦ - 3.644 million

16. Darkoo πŸ‡³πŸ‡¬ - 3.629 million

17. Arya Starr πŸ‡³πŸ‡¬ - 2.6M

18. Adekunle Gold πŸ‡³πŸ‡¬ - 2.4M

19. Kizz Daniel πŸ‡³πŸ‡¬ - 2.3M

20. 1da Banton πŸ‡³πŸ‡¬ - 2.233M
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad