Yanga Yaichapa Zalan FC Kinyama, Mayele Apiga Hat Trick Ingine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPAKLABU ya Yanga imefuzu hatua inayofuata klabu bingwa Afrika baada ya kufanikiwa kuwachapa jumla ya mabao 9-0 timu ya Zalan Fc ya nchini Sudan ya Kusini.

Mechi ya kwanza Yanga ilifanikiwa kuwachapa mabao 4-0, wakati mechi ya pilia mabyo imepigwa leo katika dimba la Benjamini Mkapa imeilaza kwa mabao matano na kufanya jumla ya kuwa na mabao 9-0.

Ni Fiston Kalala Mayele amefanikiwa kufunga mabao matatu tena yaani Hat Trick baada ya mechi ya kwanza kufanya hivyo.

Mabao mengine ya Yanga yamewekwa kimyani na Farid Mussa na Aziz Ki .
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad