Dereva wa Fuso aliyegonga Twiga, atalipa Milioni 34 za kitanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi Ignas Gara amesema Dereva wa lori lililomgonga Twiga na kumuua kwenye hifadhi ya Mikumi usiku wa kuamkia September 29 atalipa faini ya dola za kimarekani elfu 15 ambazo ni sawa na shilingi milioni 34 na laki 9.

Taarifa hii imekuja wakati bado Dereva huyo yupo Hospitali akipatiwa matibabu chini ya ulinzi wa Polisi kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo ambayo lori alilokuwa akiliendesha (T 863 AGU) lilianguka kwa ubavu baada ya kumgonga twiga huyo.

Dereva huyu atakapopona atafikishwa Mahakamani baada pia ya taratibu za kisheria kukamilika.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad