Gigy asimulia Alivyomkunja Diva the Bawse Mtangazaji wa Wasafi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy’ amesema kuna siku aliwahi kumkunja mtangazaji Loveness Malinzi ‘Diva’ alipomletea za kuleta katika kiwanja cha Bar Cone.

Gigy alisema, siku hiyo alikuwa na kina Adam Mchomvu na B12 kwenye kiwanja hicho na alipofika Diva akaanza kumletea zile za ‘mimi sio levo zako’ ndipo uvumilivu ukamshinda.

“Alianza kujaribu kutokwatokwa na maneno, mimi nina hasira nilimbana kwenye zile bomba za Bar Cone, alikuwa analitetea maneno sijui level baby, akaniwekea mpaka slogan ya level kwenye kipindi.

“Ilifika wakati mpaka nikaamua kuacha kipindi pale Clouds, mpaka leo finger print zangu zipo pale. Sijagombana na mtu zaidi ya Diva,” alisema Gigy.

Gigy na Diva ni chui na paka mpaka sasa ambapo Gigy amesema chanzo chake ni ugomvi wa chuki aliouanzisha mara baada ya yeye kupata kazi Clouds.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad