Hali Ngumu..Game Super Market Kufungwa Biashara zake Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki Maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa Maduka yake kufanya Biashara

Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni Miezi 12 ya kujaribu kuuza Maduka yake kwenye Nchi za Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji wapya wa ndani bila mafanikio

Imesema kwa sasa wako kwenye hatua za haraka kuanza uuzaji wa jumla wa Bidhaa zilizopo katika Maduka yote kwenye Nchi hizo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad