Mapenzi Yanasababisha Tatizo la Afya ya Akili- Dk. Praxeda Swai

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Mapenzi yanasababisha tatizo la afya ya akili- Dk. Praxeda Swai

Daktari Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili Dk. Praxeda Swai kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili amesema kuwa hakuna kitu ambacho kinasababisha moja kwa moja tatizo la afya ya akili, lakini vipo vitu mbalimbali vya kibaiolojia na kijamii ambavyo vinaweza kuchochea mtu kupata tatizo hilo.


Ametaja baadhi ya mambo hayo kuwa ni uhusiano wa kimapenzi, kufukuzwa kazi, changamoto za kimaisha ikiwemo kunyanyapaliwa nyumbani, shuleni au maeneo ya kazi.


Aidha, ametaja vichocheo vingine kuwa ni ulevi wa pombe, matatizo ya kiafya ya kurithi na magonjwa sugu kama vile UKIMWI.


Dkt. Swai amesema hayo mkoani Dar es Salaam alipokuwa akichangia mada katika Mdahalo wa Kitaifa wa Afya ya Akili ulioandaliwa na wizara ya Afya

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad