Msanii Kayumba " Irene Uwoya Kuna Muda Ananisaidia Hela ya Video"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii Kayumba Amefunga juu ya Ukaribu wake na Muigizaji wa Filamu Irene Uwoya kwa sasa, Amesema kuwa yeye na #Uwoya ni Washikaji na kuna muda huwa anamsaidia Hela kwa ajili ya kushoot Video.

Akiwa kwenye Kipindi cha #FreshWeekend cha #WasafiFm Kayumba Amesema...

"Hivi sasa Kayumba amebaki kama mshikaji, tunawasiliana pia kuna muda ananisaidia Hela ya kushuti Video za Nyimbo zangu, hakuna chochote zaidi ya Ushikaji tu”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad