Mwanamiziki Foby Amuomba Msamaha Hamisa Mobeto "Naomba Uni Unblock"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mwimbaji wa Bongofleva @fobyofficial ameamua kutoa ya moyoni mwake kwa mrembo @hamisamobetto ambaye hawako sawa hivyo akihitaji wamalize tofauti zao.


Foby ametumia insta story yake kumuangukia Mobetto na kuomba yaishe kwa kile alichoeleza kuwa ame-miss kuona picha zake baada ya kulambishwa block na mrembo huyo kwa takribani miaka 3 baada ya kuwa na utofauti.


@fobyofficial ambaye bado anaeendelea kufanya vizuri na wimbo wake uitwao #Chakula uliotoka miezi miwili iliyopita aliomshirikisha Linah, inasemekana mgogoro wake na Mobetto ulianza baada ya @hamisamobetto kuachia wimbo wake wa kwanza ambao ni #MadamHero huku Foby akiwa mwandishi wa kazi hiyo.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad