Mwanamuziki AKON Akiri Kwenda Uturuki Kufanya Surgery ya Kuoteshwa Nywele Kuondoa Kipara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Staa wa muziki tokea nchini Marekani na mwenye asili ya Senegal, Akon ameweka wazi kuwahi kwenda uturuki kwaajili ya ufanyaji upasuaji wa kuotesha nywele na kuondoa uwalaza. Kwenye Podcast interview aliyofanya hivi karibuni na Bootleg Kev, Akon ameeleza kuwa ilimbidi aende uturuki kuotesha nywele zake kutokana na kutopenda muonekano wa mwanzo, akiongeza kuwa kwasasa anafurahia matokeo yake licha ya kukutana na maumivu makali wakati wa upasuaji.


Upasuaji huo umegharimu zaidi ya Tsh Milioni 17 huku akidai ni pesa ndogo ukilinganisha na gharama za matibabu hayo nchini Marekani.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad