Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA
Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA
Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
Mke wa Mwimbaji Alikiba aitwae Amina ameibua mjadala mtandaoni baada ya kuandika kwenye insta story yake kwa herufi kubwa “OFFICIALLY FREE” akimaanisha sasa ni rasmi yuko huru, maandishi aliyoyaambatanisha na picha inayomuonesha Ndege akipaa baada ya kufunguliwa kutoka bandani.
Japokuwa haijathibitishwa kwamba uhuru huo aliouandika Amina unamaanisha nini, kitendo chake cha kuzifuta picha alizowahi kuzipost za Mumewe Alikiba kimekoleza zaidi fununu za wawili hao kuachana rasmi.
Kwa habari kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Tanzania Zipo HAPA
Ufadhili wa Masomo ( Scholaships) Bonyeza HAPA
0 Comments