google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Ali Kamwe "Leo ni Siku ya Wananchi Kumwagilia Moyo" | UDAKU SPECIAL

Ali Kamwe "Leo ni Siku ya Wananchi Kumwagilia Moyo"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Siku ya Wananchi Kumwagilia moyo 😀✅ Siku ya kuonyesha Tofauti yetu na mashabiki wengine wa ‘timu roho mkononi’

Ikifika Dakika ya 46 ya mchezo wa Leo dhidi ya Singida Big Stars, kila shabiki wa Yanga pale Benjamin Mkapa, Kibanda Umiza, ATASIMAMA KWA DAKIKA 1 na kujipigia makofi ya Pongezi kwa kuwa Shabiki asiyejua ladha ya kufungwa kwenye mechi za Ligi.

Utasimama, utapiga makofi, utampongeza na jirani yako.. mtashikana mikono na kufurahia pamoja REKODI YA UNBEATEN MECHI 46 ZA LIGI

Kama una kinywaji mkononi.. Usione shida, Mwagilia moyo pia Ikifika Dakika ya 46😀 NI SIKU YETU YA KUWAKERAAAAA!!!!

SISI NDIO @yangasc ✅✅🔰
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad