Asake, Zuchu na Rayvanny Waondoka na Tuzo za Afrimma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Kwenye ugawaji wa tuzo za #afrimma masaa machache yaliyo pita huko nchini Marekani, Wasanii @rayvanny pamoja na @officialzuchu wameipeperusha vyema bendera ya Tanzania kwa kung'ara katika category mbili, Rayvanny akibeba tuzo ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki kwa mwaka 2022, wakati Zuchu akibeba tuzo ya msanii bora wa kike Afrika Mashariki kwa mwaka 2022.

Asake tokea nchini Nigeria yeye ameondoka na tuzo ya msanii bora wa mwaka (Artist of the Year) kwa mwaka 2022.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad