Azika Mtoto Wake Kaburini Akiwa Hai ili Apate Utajiri wa Mali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkazi wa Kijiji cha Mahaha wilayani Magu mkoani Mwanza, Zawadi Msagaja (20) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapo kwa tuhuma za kumzika mtoto akiwa hai ili apate mali.


Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema watuhumiwa wanadaiwa kutenda unyama huo Novemba 13 mwaka huu mchana katika mtaa wa Kisundi kata ya Bugogwa wilayani Ilemela mkoani humo.


Wengine wanaoshikiliwa katika tukio hilo ni dada yake Zawadi, Elizabeth Kaswa na mmewe, Mussa Mazuri ambaye ni mganga wa kienyeji aliyetoa maagizo ya kutekeleza kitendo hicho huku akimtishia Zawadi kuwa asipofanya hivyo yeye ndiyo atatolewa kafara.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad