google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Baada ya Ndoa na Mama Steve Kufeli, Barnaba Kumuoa Huyu Mrembo | UDAKU SPECIAL

Baada ya Ndoa na Mama Steve Kufeli, Barnaba Kumuoa Huyu Mrembo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mopao barnabaclassic yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake @rayatheboss ikiwa ni kiashirio cha kuelekea katika ndoa. Shughuli hiyo inatajwa kufanyika mwishoni mwa wikiendi na kuhudhuriwa na wasanii wenzake.


Hongera kwa @barnabaclassic tunawatakia safari njema ya kuelekea kwenye ndoa yeye na mchumba wake.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad