google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Baadhi ya Wanawake Wanachukulia Umalaya Kama Hustling | UDAKU SPECIAL

Baadhi ya Wanawake Wanachukulia Umalaya Kama Hustling

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"We hujui tu mi na-hustle kiasi gani ili maisha yangu yaweze kwenda" ananiambia mmoja wa friends of mine.

"Ni hustle gani hizo unaziziongelea" namuuliza nikimuangalia machoni ili hata mdomo wake ukinidanganya macho yake yatasema ukweli.

Anajibu "We hujui nimejitabasamisha mbele ya wanaume wangapi nnaowachukia, ninejibebisha mbele ya wanaume wengi nisiowapenda hata kidogo" anaendelea kuniambia huku macho ni makavu kwa maana kwamba hadanganyi.

"Kuna wanaume nimewavulia pichu sikuwahi hata kuwawaza maishani mwangu" anaendelea kusema "hayo na mengine mengi ndo yamenisimamisha mimi mwanamke jasiri aliyesimama mbele yako" sura yake ni kama anayoivaa mtu usoni baada ya kusimulia story ya ushujaa wake, na mimi ikabidi nivae uhusika kulingana na mada na nature ya muhusika maana hakapendagi kuambiwa ukweli.

Tuliendelea kupiga story nyingine lakini lile swala la yeye kuchukulia umalaya kama ushujaa lilinikwaza sana, nikamwangalia yeye na maisha yake Kwa ujumla nikaja kupata jibu wenda wanawake wengi sana wanauchukulia umalaya ni kama hustle.

Achana na wale wanaouza wale, wale imeshajulikana na ukienda pale hamna mambo mengi ni hela yako tu, lakini hawa wanajifanya innocent wengi waliotuzunguka na wenyewe ni wale wale wanahesabu tobo ni mtaji.

Ndo maana unaweza mfukuzia dem kwa njia official (Yaani ukawa unamfukuzia ile umeomba namba, unachati nae kidogo, vizawadi, outing baadae uje umtongoze) ukakuta mizungusho inakuwa mingi mpaka ukaona ujikatae alafu akaja tu mwana akaweka mkwanja akagusa akalamba, wewe ulimuheshimu kwa jinsi alivojiweka na hamna kitu uliambulia wamekuja wazee wakupanda dau wamepita nae.

Najua Kuna mazingira huwa yanabana Kwa mfano umeomba ajira alafu mkubwa anataka mali, hapo itategemea na imani yako, mzigo ulioko nyuma yako, mda uliosota bila kazi, mshaara unaenda kulipwa unaona aah isiwe kesi kuliwa mara moja tu raha tunapata wote na haondoki nayo baada ya hapo unakazi permanent

But Kuna ile mtu kuanzia Kodi, chakula, kusuka, kuvaa ni lazima a-hustle na ku-hustle kwenyewe ni kuliwa, hivi usipovijua unaweza kuvielewa ukaviheshim na kuvipenda mazima, aisee ukivipenda hivi utapata tabu sana.

Kwani wanawake mmakwama wapi?

By Msumbufu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad