BREAKING: Bayern Munich inataka kumsajili Cristiano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BREAKING: Bayern Munich inataka kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Cristiano Ronaldo wakati wa dirisha la usajili wa Januari.

Inaelezwa kuwa Ronaldo na Wakala wake walikutana na miamba hiyo ya Ujerumani kwa ajili ya mazungumzo siku chache kabla ya mahojiano yake na Piers yaliyozua taharuki.

Meneja wa Mashetani hao Wekundu, Erik ten Hag imeitaarifu klabu hiyo kuwa hamtaki Mreno huyo kwenye timu hiyo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad