AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Staa wa Manchester United na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo @cristiano amekuwa mtu wa kwanza kufikisha wafuasi milioni 500 kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Lionel Messi @leomessi anashika nafasi ya pili akiwa na wafuasi milioni 375.64 na nafasi ya tatu inashikiliwa na mrembo na mwanamitindo kutoka familia ya Kardashian Kylie Jenner @kyliejenner
Ronaldo yupo timu ya Taifa ya Ureno nchini Qatar kwenye kombe la Dunia, Ureno itafungua dimba Novemba 24 dhidi ya Ghana.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK