Fahyma ‘Fahyvanny' Adaiwa Kwenda Kutengeneza Shape Uturuki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MWANAMITINDO maarufu nchini, Fahyma ‘Fahyvanny’ na mzazi mwenza wa mwanamuziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa Next Level Raymond Mwakyusa inadaiwa kaenda kutengeneza shepu.

Hii ni baada ya kuweza kutrend kwa baadhi ya picha alizoweza kuziposti zikimuonyesha akiwa na umbo ‘namba nane’.
Picha hizo zimeweza kuibua mjadala mkali huku wengi wakidai kwamba shepu ya Fahyma imeboreka.

“Uturuki siyo sehemu ya mchezo mchezo mmemuona Fahyma jinsi amekuwa na mshepu kama yote kwa sasa anavutia.
“Huenda safari yake ya uturuki ilikuwa ni kwa ajili ya ‘kudownload’ shape.’ alisema shabiki huyo.

Kama ni kweli; Fahyma naingia kwenye listi ya baadhi ya mastaa Bongo wanaodaiwa kutengeneza shepu kwa ‘sajari’ nchini Uturuki, India na wengine hapahapa Bongo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad