Hizi Hapa Mbinu Zinazotumika Kuiba Watoto Mwanza

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAKutokana na matukio yaliyokithiri ya wizi wa watoto wadogo mkoani Mwanza, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Wilbroad Mutafungwa amefichua mbinu zinazotumiwa na wahalifu hao kuwa ni kujenga ukaribu na wazazi wa watoto hao ili kupata uaminifu wao.

Matukio hayo ya wizi wa watoto wa siku moja hadi miezi sita yameripotiwa mara kwa mara huku watuhumiwa wakiripotiwa kuwa ni wanawake wasioweza kupata watoto kutokana na ugumba.

“Mbinu zinazotumika kuiba watoto ni wanawake wenye nia ovu kuwa karibu na wazazi na kuaminiwa na kuachiwa watoto na hivyo kupata mwanya wa kutoroka nao,” amesema Kamanda Mutafungwa.

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad