Idriss Sultan Hakumhonga WEMA Sepetu Pesa Alizoshinda Big Brother Africa..Zilipotea Hivi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Baada ya Idris Sultan kushinda Big Brother, alizawadiwa zaidi ya Million 600.


Wengi walitegemea Idris atafanya jambo la maana kupitia pesa hiyo, lakini ukweli ni kwamba hakufanya lolote la maana zaidi ya kununua Gari la Million 30.


Hela nyingine zilipotea kwenye mazingira ya kutatanisha, Alijaribu kifungua biashara lakini hazikuzaa matunda, hivyo ndani ya muda mfupi jamaa akaishiwa hela kabisa, akakosa mpaka hela ya kodi na akaanza kutangatanga hapa Dar.


Alipata ahueni baada ya Ruge kumpa Ajira, kisha akajiongeza akatafuta Kampuni moja ambayo alifanya nayo Patnership ya kufungua biashara ya viatu.


Note: Idris hakuishiwa hela kisa kumhonga Wema bali ziliisha alipokuwa akijaribu kuwekeza kwenye biashara ambazo hazikuzaa matunda.

By Hopetyga

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad