Jux Aweka Maneno Sawa Kuhusu Kuhusishwa Kimapenzi Na Paula

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




JUMA Jux; ni staa kabisa wa muziki wa RnB kutoka nchini Tanzania ambaye ameweka maneno sawa kuhusu kile kinachodhaniwa kuwa ni uhusiano wa kimapenzi baina yake na mrembo Paula Kajala ambaye ni mtoto wa muigizaji Kajala Masanja; pisi ya Konde Boy.


BET NA MERIDIANBET WANA TOA HELA BALAA , JISAJILI HAPA


Jux anasema kuwa, kuwa uhusiano wake na binti huyo wa kambo wa msanii Harmonize ni wa kibiashara tu na wala hawajawahi kuvuka mipaka na kuzama kwenye penzi hata siku moja.


Staa huyo anaitetea video ambayo ilidaiwa kuwa Paula alionekana akiingia nyumbani ambapo anasema kuwa hata hajawahi kufika katika makazi yake.

Jux anasisitiza kwa kumtaja Paula kama dada yake mdogo na wala hawezi kuingiwa na suala la kumuomba kuwa wapenzi.


Jamaa huyo anahitimisha kwa kusema kuwa, kwa yupo kwenye uhusiano mwingine ambao unampa amani ya akili kupita maelezo.


“Ninachoweza kusema ni kama dada yangu mdogo. Hajawahi kuja nyumbani kwangu. Sijawahi kuona hiyo clip. Ndiyo, kwenye clipu inaonekana kama nyumba yangu.


KOMBE LA DUNIA WATU WANABET NA KULA MPUNGA NA MERIDIAN BET JISAJILI HAPA


Sikumbuki ni muda gani nilimuona. Ukweli ni kwamba, yeye ni msichana mdogo ambaye namuona akifanya mambo yake. Hatuko kwenye uhusiano kwa sababu niko kwenye uhusiano wangu mwenyewe,” anasema Jux; mkali wa Ngoma ya Kiss aliyomshirikisha Marioo.


Cc; @sifaelpaul

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad