AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Meneja wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekubali kuchukua mikoba ya kukinoa kukosi cha timu ya Taifa Ufaransa baada ya Kombe la Dunia.
Mkataba wa Kocha wa sasa Didier Deschamps unamalizika na Ufaransa ipo tayari kumuondosha bila kujali matokeo ya kombe la Dunia 2022.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK