Kumekucha..Donald Trump Atangaza Rasmi Kuwania Urais wa Marekani Kwa Mara ya Pili

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPARais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza nia yake ya kugombea tena Urais na kurudi Ikulu ya White House mnamo 2024.

Trump alizindua nia yake hiyo - ya tatu ya urais - siku ya Jumanne katika eneo lake la Mar-a-Lago huko Florida, wiki moja baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula ambapo Republican walishindwa kushinda viti vingi katika Congress kama walivyotarajia.

Ni jaribio nadra sana la kiongozi wa zamani wa Marekani kutaka kutwaa tena Ikulu ya White House baada ya kushindwa katika uchaguzi.

Je unahisi Trump ananafasi ya kutwaa tena ikulu ya Marekani?


Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad