Kumekucha..Producer MR T Touch Amlipua Chid Benzi "Anataka Kunidhuru, Anatumia Madawa ya Kulevya"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Producer @mrttouchez ameandika

"Ikitokea Nimepata Tatizo Lolote La Kiusalama,Kuanzia Muda Huu Unapoona Hii Post Atakuwa Anahusika Radhid Makwilo Almaarufu Kama Chid benz na Genge Lake La Wahuni,Kwasababu Wamenifuata zaidi ya Mara Nne au Mara Tano Kutaka Kunifanyia Fujo Na Kunipiga,Lakini Walishindwa Kutokana Na Mazingira Jinsi Yalivyokuwa,Kuna Siku Kulikuwa Na Shughuli ya #Zuchu Mlimani City, Ilikuwa ni Mahaba #Ndindindi Hii ndo Ilikuwa Sababu Ya Kila Kinachoendelea Sasa Kati Yangu Mimi Na Yeye, Tulipishana Kauli na Chid Benz Kwasababu ya Yeye Kunifwata zaidi ya Mara Tatu akiniomba Nimpatie elfu Hamisini,Na Nilipokataa Zaidi ya Mara Tatu Alitoa Maneno Machafu Round Ya Nne Ambayo Mi Nilkuwa Naelekea Toilet ,Baada Ya Hapo Tulitupiana Maneno Kibinadamu Nilishindwa Kuvumilia Kuona Mtu Ambaye Namjibu Zaidi Ya Mara Tatu Kwamba Sijabeba Pesa Anaanza Kunitolea Majibu Mabaya,Nadhani hiyo ni Sababu amenitafuta Sana Kunifanyia fujo,Yeye akiwa Na Wenzake zaidi Ya Sita,Leo Wakati Natoka Ofisini Sinza Palestina Nimewaona Wakiwa Wamesimama Kwenye Kijiwe fulani Karibia na Palestina Hospital,Baada Ya Mimi Kupita Walinifwatilia Nadhani Walinifuata Taratibu Lakini Kwasababu Nilikuwa Natembeza Gari Kwa Kasi Kidogo Wakashindwa Kunifikia,Cos Wao Walikuwa Na Bajaji Na Palikuwa Hapana foleni ya Kutisha,So Niliweza Kupita Nikafika Sehemu Ambayo Nilikuwa Naenda,Lakini Sio Mara Moja Wala Sio Mara Mbili Huyu Mtu Ananitafuta Na Lengo Lake Kubwa Anataka Kunidhuru,Nashtaki Hapa Kama ni Ukurasa Wangu Ambao Kila Mtu Anaweza Kumpa Taarifa Mwenzie Kwasababu ya hii post,Lakini Pia Ikiwa Ni Kama Sehemu Ya Mimi Kujiweka Salama,Kwasababu Nimeshindwa Kwenda Polisi Usiku huu,Kutokana na Kilichotokea So Sina Amani Ya Kunitosheleza,Kwa Hiyo Ikitokea Chochote Kibaya Juu Yangu,Anyehusika Ni Rashid Makwilo almaarufu Kama Chid Benz,Nimefanya hivi Sio Kwasabbu Nashindwa Kumdhibiti,Kumpiga au Kufanya Kitu Chochote,Bali Naomba Sheria Ishike Mkondo Wake,Kwasababu Nimesikia ni mtu ambaye anajihusisha na Vilevi Vikali,Pia Inasemekana Kwamba Anatumia Madawa Ya Kulevya Japo Mimi Sina Uhakika,Lakini Nipo Hapa KwaajiliYa Usalama Wangu Binafsi..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad