Kuna Mtu Mpaka Leo Haamini Kwamba Diamond Platnumz Anatoka na Zuchu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kupitia haya mapicha picha na Video za Diamond na Zuchu bado kuna mtu haamini kwamba Watu hawa wanatoka kimapenzi?

Mama Dangote hivi sasa anamuita Zuchu "Mkwe" bado tu hamuamini kama wawili hawa wana-date?

Kama Tiwa Savage aliweza Ku-date na Boss Wake (Don Jazzy) ikapelekea mpaka Tee Billz akampa Talaka Tiwa Savage, Je Zuchu ambaye hajaolewa kabisa anashindwaje kutoka na Diamond?

Mnasubiri mpaka Zuchu apewe mimba ndio muamini hili? Au Mnasubiri Wataalam kutoka Cuba ndio wawaeleze hili?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad