Mange Apewe Jukumu la Kuhamasisha Watanzania Kuhudhuria Show Marekani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Ninaamini wabongo wanaoishi USA wana ma-group yao Either Telegram au WhatsApp.

Mange Kimambi ana ushawishi mkubwa, achukue Jukumu la Ku-Mobilize Wabongo kuhudhuria Show za Wasanii wa Tanzania.

Mange ana faida Gani kwa taifa?, akifa anataka tumkumbuke kwa kuwa kinara wa Kuvujisha Connection au? Ni Bora achukue Jukumu hilo la Kufanya Mobilisation.

Ninaamini Mange akifanya kazi hiyo hakika tutaepuka aibu ndogo ndogo, Maana kuanzia show za Mond, Kiba Harmo huwa hazina mahudhurio Mazuri.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad