Mashabiki wa Japan Wasafisha Uwanja Baada ya Kuifunga Japan

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ukubwa wa ushindi wao dhidi ya Ujerumani ungewafanya waondoke haraka usiku mzima kusherehekea lakini mashabiki wa Japan walionyesha kuwa tabia nzuri zimekita mizizi, haijalishi uwe na furaa ama hasira.

Baada ya mechi kukamilika, viwanja vya michezo kwa kawaida vinajaa mabaki ya chakula taka na vikombe vya plastiki vya vinywaji, vinavyoachwa kwa mtu mwingine kusafisha.

Lakini si wakati Samurai Blue iko mjini.

Wachezaji wao, wakiwa wamepata ushindi wa 2-1 dhidi ya mabingwa mara nne katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia, mashabiki wa Japan walisitisha sherehe kwa muda katika Uwanja wa Kimataifa wa Khalifa nchini Qatar ili kuusafisha kwanza .
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad