Melinda Gates Apata Mbwana Mwingine Baada ya Kuachiana na Bill Gates

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAMelinda Gates(58) tayari ameingia kwenye mahusiano na mwanahabari wa zamani wa kituo cha Fox News Jon Du Pre(63) baada ya kuachana na kupeana talaka rasmi na mmoja wa mabilionea wa dunia Bill Gates(66) ambaye walidumu katika ndoa kwa miaka 27 na kubarikiwa watoto watatu

Melinda amesema kwasasa ana furaha baada ya kuuona upendo kwa mara nyingine

Melinda aliamua kudai talaka baada ya miaka 27 ya maisha ya ndoa baada ya kuona mambo hayaendi tena ndani ya ndoa na upendo hamna, japo alivumilia kwa mara nyingi ila alisema hakukuwa na cha kuendelea kuvumilia ilibidi tu achane na ndoa aendelee na maisha yake mengine huku akisema hana anachojutia kwani alitimiza wajibu wake Kama mke kuanzia siku anaingia kwenye ndoa hadi siku ameamua kusema ninaachana na ndoa

Melinda pia alieleza kusalitiwa na Bill Gates, pia kusema kuna wakati alikuwa analia wakati mambo ya talaka yanaendelea huku wanaendelea kufanya kazi pamoja

Mwisho wote wawili walikubaliana na wakaachana kwa amani mwaka jana na wamebaki kuwa marafiki wa kawaida na bado wanaendelea kufanya kazi pamoja

Kwa upande wa Jon na yeye ana watoto watatu toka kwa aliyekuwa mke wake
3 HO

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad