Miss Argentina na Miss Puerto Rico Wafunga Ndoa ya Mapenzi ya Jinsia Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Miss Argentina 2019 na Miss Puerto Rico 2019 wametangaza kwamba wameoana.

Mariana Varela and Fabiola Valentín, walianza kutoka kimapenzi tangu 2020 kwenye shindano la Miss Grand International.


Wawili hao tangu 2020 waliishi kama wapenzi lakini kwa siri kubwa, ila hivi sasa penzi lao wameliweka hadharani na wamefunga ndoa.

 

Hivi hizi pisi zilivyo kali zimekosa wanaume kweli mpaka zioane hasi kwa hasi? Aisee uhuru umepitiliza, Tanzania huku kuna njemba kibao kila siku zinakesha kupiga Puchu Then hawa wanaoana!!!!!!

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad