AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hivi sasa FAHYVANNY yupo Uturuki na ame-post picha kadhaa akiwa nchini humo.
Picha alizo-post zimeibua mjadala mkali huku wengi wakidai kwamba Shape ya FAHYVANNY imeboreka, huenda Safari yake ya UTURUKI ilikuwa kwa ajili ya ku-download Shape.
Wewe binafsi unazungumziaje hili, angalia picha ya kulia! Hajatengeneza shape?
Mpaka sasa Mastar wa kike Afrika Mashariki waliokubali kwamba wametengeneza Shape zao ni Tanasha, Zari na Muna Love.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK