AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanaharakati aliyevamia Uwanja wakati wa mechi kati ya Ureno na Uruguay hatochukuliwa hatua za kisheria bali anafukuzwa Qatar.
Mario Ferri (35)aliingia kwenye Uwanja wa Lusail jana huku akipunga bendera yenye rangi za upinde wa mvua.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK