Mwanamke Afariki Dunia Baada ya Kufungiwa Chumbani Mwaka Mzima Bila Chakula cha Kutosha

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAHuko Nigeria Mwanamama Alietambulika Kwa Jina La Sadiya amefariki baada yakufungiwa ndani na mume wake mwaka mzima Huku Akipata chakula Kidogo.

Imaelezwa Mama Huyo Wa Watoto Wanne Alikua Anafungiwa Ndani Akipatiwa Chakula Kidogo Na Mume Wake Huyo.

Mama Wa Sadiya Alieleza Kua Alifunga Safari Kwenda Kwa Mtoto Wake Baada Yakutokua Anaridhiashwa Na Sauti Yake Katika Simu Ndipo Alipomkuta Mtoto Wake Kwenye Hali Mbaya Akiwa Hawezi Hata Kutembea Kutokana Na Njaa Na Maradhi Mengine.

Mama Huyo Alimkimbiza Binti Yake Hospital Kwa Matibabu Ambapo Alifariki Siku Chache Badae 💔

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad