Mwanaume Afariki Dunia Baada ya Kufanya Mapenzi na Kwenda Round Saba

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAMwanaume mmoja wa Nigeria anasemekana kufariki dunia wakati wa mashindano ya kufanya mapenzi mara baada ya kumaliza raundi ya saba.

Kulingana na ripoti ya mwaka jana, kutoka igbudu Market Mile '2' katika jimbo la Delta nchini Nigeria, mwanaume huyo alikuwa akifanya mapenzi na mfanyakazi wa mke wake alipofariki ,huku Gazeti la The Nation likiripoti kuwa mwanamume huyo aliyetambulika kwa jina moja la Okpako alifariki dunia katika hoteli iliyoko Odibo Extension eneo la Igbudu huko Warri.

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad