Mwijaku Amshukia Diamond Platumz "Unamwitaji Zuchu Mkeo, Unatuvunjia Heshima Tulio Kwenye Ndoa"

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAAmeandika Mwijaku Kwenye ukurasa Wake Instagram:

#MWAMBINO- Umetukosea sana sisi tuliopo kwenye ndoa . Nikwambie tu NDOA SIO KWAPA ,

Unamuitaje zuchu MKE WAKO ? Wakati hauja OA . Kwa sheria ya kiislaamu tayari UMERITAD inabidi USILIMU TENA UWE MUISLAMU .

Kwa kuongea uongo kwenye sunnah alio itekeleza mtume wetu muhammad swalla llahu alayh wasalaam .

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad