Nandy Akasirishwa na Chombo Kilichotoa Habari ya Uongo Kifo cha Mtoto Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ameandika haya na Kuambatanisha picha hiyo hapo juu:

"KUWA MAARUFU ISIWE SABABU YA KUUMIZA WATU. TAFADHALI KUPATA VIEWS AU UMAARUFU WA ACCOUNT SIO KUUWA WATU.


SASA HIVI UWE UMEFUTA UO UCHAFU WAKO SABABU UTAKUWA MFANO KWA WENGINE! NA HIYO ACCOUNT ITAKUWA HISTORIA KWAKO SASA HIVI NAKUPA PUMBAVU.


IMAGINE MAMA WA HUYU MTOTO ALIOWEKWA HAPA ANAJISIKIAJE??? NASEMAAA SASA HIVI ISHUKE"-@officialnandy


Nandy ameandika maneno haya mara baada ya Page moja huko Facebook kuandika Caption "Hii ndio sababu ya Kifo cha Mtoto wa Nandy na Billnass...."

NB

Kwa mujibu wa Caption ya Nandy huyo mtoto pembeni sio mtoto wake. Mtoto wake ni Mzima na hamjui huyo pembeni ni mtoto wa nani.

Duh! Hata kama ni kutafuta Views wabongo wamepitiliza. JAMANI FANYENI KAZI BORA, VIEWS ZITAPATIKANA KWA WINGI, UONGO HAULETI VIEWS NI KUJIDAGANYA TU.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad