Niffer afunguka sababu ya kumblock Vunja Bei "Nimuombe Radhi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mrembo anayetrend zaidi kwenye mitandao ya kijamii, Niffer ametaja sababu ya kumblock mfanyabiashara Vunja Bei ni kutokana na jamaa huyo kutokanusha madai ya kuwa wana mahusiano.


Niffer akizungumza na Wasafi TV juzikati alisema, Vunja Bei alikaa kimya wakati alikuwa anasikia minong'ono ya kwamba wanadaiwa ni wapenzi jambo ambalo lilimfanya hata yeye amchukie na kumsema vibaya.


"Nimuombe radhi Vunja Bei sababu ni kijana na mimi ni mfanyabiashara kama yeye hivyo si vizuri kugombana naye lakini nilifanya vile sababu ya hasira tu kwa nini hakanushi wakati anafahamu mimi na yeye sio wapenzi," alisema Niffer.


Niffer alisema hata alipofanya mahojiano na Diva, jamaa wake alimzuia kuzungumza kuhusu Vunja Bei japo yeye alifanya hivyo kwa sababu ya hasira.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad