Panya Road Wafanya yao Kibaha, Wavamia Makazi ya Watu, Wapora na Kujeruhi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wahalifu hao wanaotumia silaha za jadi wamevamia nyumba kadhaa wakiwa katika makundi kisha kupora mali na kujeruhi watu kadhaa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema mmoja wa majeruhi ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza ambaye anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Muhimbili

Daktari wa Kitengo cha Dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Tumbi, Dkt. Oscar Feruzi amesema wamepokea majeruhi 9 waliotokana na matukio hayo, wawili kati yao wakihamishiwa Hospitali ya Muhimbili kupatiwa matibabu zaidi

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad