Rapa Witnesz Kibonge Mwepesi Aikosoa Kauli ya Rosa Ree Kuwa Rapper wa Kwanza wa Kike Kutoa Album Bongo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rapa Witnesz Kibonge Mwepesi ameamua kuirekebisha kauli ya mdogo wake Kimuziki, rapa Rosa Ree ambaye anaenda kuachia album yake mpya wikiendi hii.

Kauli aliyoirekebisha Witnesz kwa Rosa Ree ni baada ya kueleza kwamba yeye ndiye rapa wa kwanza wa kike Tanzania kuachia album na anaenda kuandika HISTORIA. Witnesz amwambia Rosa Ree huo ni ukosefu wa heshima kwa Dada zake waliomtangulia kwani angeuliza kwanza kabla ya kueleza hayo.

Witnesz amwambia Rosa Ree aseme labda namba nyingine, baada ya Sister P aliyeanza kutoa album mwaka 2004, na kisha ikafuata yake (Witnesz) ambaye ni wa pili kwa upande wa wanamuziki wakike Hip Hop Tanzania. Pia kuna Zay B n.k

Una mtazamo gani⁉️

Aidha, album mpya ya Rosa Ree inaitwa "Goddess" ina jumla ya ngoma 17, inatoka Jumamosi hii, Novemba 26. Inakuwa ni album ya kwanza kwa Rosa Ree kuachia katika safari yake ya muziki.

SNS
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad