Uchunguzi umebaini licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la Ajali, Boti rasmi ya Uokoaji ilichelewa kufika eneo la Ajali kwasababu haikuwepo katika Bandari ya Bukoba
Pia, pamoja na Askari wa Kitengo cha Wanamaji kuchelewa kufika, hawakuweza kufanikisha zoezi la Uokoaji chini ya Maji kwasababu ya ukosefu wa Oksijeni na Mafuta ya kutosha Boti
Aidha, kabla ya kuwasili kwa Polisi Kitengo cha Wanamaji, mmoja wa Wavuvi wa eneo hilo alianza mchakato ya uopoaji wa Maiti kutoka kwenye mabaki Ndege.
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA