Riziki iliyotoweka na Kisha Kurejea Tena

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAPikipiki ni chombo mojawapo ya vyombo bora vya usafiri wa haraka.Biashara ya pikipiki almaarufu bodaboda ni biashara ambayo ni maarufu sana hususan katika nchi za Afrika Mashariki.Ni biashara ambayo vijana wengi wanatamani kujihusisha nayo iwapo watapata fursa ya kununua pikipiki.Nilizoea kumwona mjomba wangu akiifanya biashara ile na kupata hela ambazo alitununulia pipi na hata mapochopocho mengi mno kila siku aliporejea nyumbani jioni.

Swala hili lilinifanya nitamani sana kumiliki pikipiki ili nami nijitose kwenye ile biashara ambayo niliichukulia kuwa yenye kipato cha kuridhisha.Baada ya kukamilisha masomo yangu ya shule ya upili nilijituma sana kwenye vibarua vya kuungaunga huku nikijitahidi kuhifadhi sehemu ya kipato nilichopata.
Muda wa mwaka moja unusu ulikuwa umetosha kuniwezesha kumiliki pikipiki yangu ndogo ambapo bila kupoteza muda nilijitosa kwenye ile biashara kwa kujisajili na kufuata masharti yote hitajika.

Kazi ilianza kwa kishindo kwelikweli na kushika kasi sana ambapo niliifanya kwa bidii sana ili kuafikia malengo yangu maishani ya kujikwamua kwa uchocholee ulioikumba jamii yetu.Niliapa kujitahidi kwa hali na mali ili kutimiza hayo malengo.

Nilijaaliwa kupata hela kiasi cha haja kila siku,kwani ningeweza kulaza takribani shilingi elfu tatu kila siku ya wiki.

Katika shughuli za kila siku za kuwabeba abiria,ilitokea siku moja nikawapata abiria wawili waliotaka kupelekwa kwenye mtaa madongoporomoka na kisha kurejeshwa mjini.Nilimshukuru Mwenyezi Mungu kwani nilijua riziki imeshapatikana bila kujua njama iliyokuwepo dhidi yangu.

Katika hali ile ya kurejea kutoka madongoni kule mmoja wa wale wateja wangu alinikaba shingoni ambapo ilinibidi kuachia pikipiki yangu na kuanguka chini.Walinitishia kwa kuniwekea kisu kikali cha kata kuwili kifuani ambapo nisingeweza kupiga kamsa kuomba msaada wowote.waliwasha pikipiki yangu na kuondoka nayo kama vile walikuwa wameimiliki.

Nililia kwa uchungu mwingi mno nikikumbuka jinsi nilivyotaabika kuweza kuimiliki ile pikipiki nisijue nitafanyaje kuweza kuipata pikipiki yangu tena kwani ilikuwa ni chote nilichokuwa nakitegemea.
Nilijaribu mbinu ya kushtaki kwenye kituo cha polisi ila hawakuwa radhi kuniwezesha kupata pikipiki yangu tena, vyovyote nilivyoweza kufanya nilifanya.

Tukio hilo lilinikatisha tamaa maishani kwani sikua na mbinu ya kuleta kipato tena.Mojawapo wa rafiki yangu tuliokuwa tukifanya kazi kwenye kijiwe kimoja pale mjini alinielekeza sehemu moja ambayo babuye alikuwa daktari wa dawa za kiasili, kwa Kiwanga doctors ambapo walinishika kwa mikono miwili na kuniwezesha kupata pikipiki yangu tena kwani wale wezi walinipigia simu wenyewe na kunieleza jinsi walivyokuwa wakitaabika na kwamba pikipiki yenyewe ilikuwa ikiwasumbua wasipate amani yeyote.

Ilibidi niwaagize wailete pikipiki yangu pale walipoitoa na wanilipe gharama ya siku nilizopoteza riziki yangu,na hapo nikaipata pikipiki yangu tena na furaha ikarejea tena.Ama kweli Kiwanga doctors ni suluhisho kweli.

Kiwanga doctors wanauwezo wa kutibu kisukari,pumu,saratani miongoni mwa mengine.Vile vile wanaosha nyota,kulinda mali na hata kudumisha penzi.

Kwa habari zaidi wasiliana na Kiwanga doctors kupitia: +274769404965/

Email:Kiwangadoctors@gmail.com

au kupitia tovuti www.kiwangadoctors.com.

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad