Rosa Ree "Naachia Album Yangu Kama Msanii Ninaejitegemea...Sijauza Album Yangu Kwa Kampuni yoyote Kama Wengine"

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAHATIMAYE! Nimeandaa album yangu kwa Miaka minne sasa and let me tell you something, SIO RAHISI! Now naachia album yangu as an INDEPENDENT ARTIST! Yani sidhaminiwi na Lebo yoyote na wala SIJAUZA mziki wangu kwa kampuni yoyote ya Music Distribution! Wengi walinifata kutaka kunidhamini lakini nimechagua kumiliki mziki wangu asilimia Mia (to own my master 100%) na mbali na kua na changamoto nyingi niwaambie tu ITS WORTH IT! Nimeweka kila version ya Rosa Ree kwenye hii album. ROSARY the Daughter, ROSAA the Sister/Friend, ROSARY the Mother, ROSA REE the Artist na hata yule Rosa Ree nisiyemjua ambaye bado naendelea kumgundua! Nimewapa MIMI HALISI kama nilivyo, experience zangu zote zilizopita, nazopitia sasa na hata matarajio yangu ya baadae. I’ve put my blood, sweat and tears into this album! NIMEWAPA KILA KITU. I HAVE GIVEN YOU MY ALL! This is WHO I AM! THE #GODDESS ! #GODDESS The album is coming outNOVEMBER 26th! BE READY! #GODDESS πŸ‘ΈπŸ½ YOU READY FOR THE TRACK LIST???😈

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad