Shabiki Mandazi Achukua za Uso Kutoka Kwa Lulu Michael "Sura Kama Unatafuta Harufu ya Panya Aliekufa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Shabiki maandazi ameishia kuchezea za uso kwenye ukurasa wa Instagram wa staa wa filamu nchini, #elizabethmichael baada ya binti huyo kumshtumu Lulu kama ni mtu mnafiki baada ya kumpost rafiki yake, Jackline Wolper akimpongeza kwa kufunga ndoa na Baba watoto wake, Rich Mitindo.


Shabiki huyo amemuita Lulu kama mtu mnafiki baada ya msanii huyo kuto onekana kwenye sherehe ya Wolper na badala yake kutumia ukurasa wake wa Instagram kupongeza. Jibu la Lulu lilikuwa ni kutafutiwa dhambi za bure na kuifananisha sura ya shabiki huyo kama ya mtu anayetafuta Harufu ya Panya aliye kufa


Kiufupi ni kuwa mwenye akili timamu huwezi ukakurupuka zako na kuvamia post za watu na mitusi au kukosoa kusiko na hoja, huo ni utoto na upumbavu wa PhD, na mwisho wa siku unajiokotea fedhea kama hizi. Learn yourself change.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad